News

Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje amewataka wanachama wa CHADEMA kuendeleza kampeni ya ‘no reforms no election’ ...
SERIKALI imetoa vifaa vya kisasa vya utafiti wa maji chini ya ardhi,huku ikitoa maagizo kwa mamlaka za maji kuhakikisha ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameialika Ukraine kushiriki katika "mazungumzo ya moja kwa moja" tarehe 15 Mei, saa chache baada ...
Wananchi wa kijiji Luhangano kata ya Mputa wilaya ya Namtumbo wameiomba serikali kuona umuhimu wa kuwasaidia kuwapelekea ...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amelipongeza Baraza la Waislamu Tanzania(BAKWATA) kuendelea kusimamia amani na utulivu nchini kwa ...
Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Ziada Sellah amezindua rasmi Kampeni ya kitaifa ya Afya ya Akili ni Afya, yenye lengo la ...
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga, Mibako Mabubu amekabidhi maguni ya mahindi 82 kwa ajili ya chakula kwa ...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, leo ametangaza kwamba uchambuzi wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za ...
"Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwa sababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya ...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa ...
FUKUTO ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) linazidi kushika kasi baada ya jana viongozi wengine kutoka ...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema pamoja na kwamba Mwenyekiti wa chama hicho, ...